magari > Habari

Formula 1: Valtteri Bottas Ashinda Japan GP Na Kuifanya Mercedes Kuweka Rekodi Ya Dunia

TOKYO, Japan- Dereva wa Mercedes, Valterri Bottas ameshinda mbio za Japan GP na kuiweezesha kampuni yake kuweka rekodi mpya ndani ya Formula 1 ya ushindi mara mbili ndani ya msimu mmoja kwa miaka sita mfululizo. ...

Formula 1: Japan GP Yasitisha Shughuli Zake Za Jumamosi Kupisha Kimbunga

Formula 1: Japan GP Yasitisha Shughuli Zake Za Jumamosi Kupisha Kimbunga

TOKYO, Japan -Mamlaka zinazosimamia michuano ya mashindano ya magari Formula 1 wametangaza kughairisha shughuli zote za mchujo wa Japan GP zilizotarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi kupisha kimbunga. ...

Formula 1: Japan GP Ipo Kwenye Hatihati Ya Kutokufanyika Kutokana Na Kimbunga

Formula 1: Japan GP Ipo Kwenye Hatihati Ya Kutokufanyika Kutokana Na Kimbunga

TOKYO, Japan -Mamlaka zinazosimamia ligi ya mashindano ya magari maarufu Formula 1 zimesema kuwa zinakusudia kusitisha Japan GP iliyopangwa kufanyika wikiendi hii kutokana na tishio la kimbunga kikali kinachoweza kuikumba nchi ya Japan. ...

Formula 1: Japan GP Kumzalisha Nyota Mwingine Wa Mbio Za Magari Dunia

Formula 1: Japan GP Kumzalisha Nyota Mwingine Wa Mbio Za Magari Dunia

TOKYO, Japan -Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya wapenzi wa mashindano ya magari kushuhudia kipute cha Japan GP, taarifa zimetoka zikisema kuwa kwenye mashindano hayo kutakuwa na jina jipya ambalo lituwa linashiriki kwa mara ya kwanza. ...

Formula 1: Lewis Hamilton Atamani Kufanya Kazi Na Sebastian Vettel

Formula 1: Lewis Hamilton Atamani Kufanya Kazi Na Sebastian Vettel

LONDON, Uingereza- Bingwa wa michuano ya mbio za magari, Lewis Hamilton amesema kuwa anafaa kufanya kazi ndani ya Ferrari. ...

Formula 1: Lewis Hamilton Atoa Lake La Moyoni Kuhusu Kampuni Ya Ferrari

Formula 1: Lewis Hamilton Atoa Lake La Moyoni Kuhusu Kampuni Ya Ferrari

SINGAPOO, Singapore -Bingwa wa zamani wa mbio za magari wa kampuni ya Mercedes, Lewis Hamilton amesema ni ngumu sana kwasasa kushindana na madereva wa kampuni ya Ferrari kutokana na ubora wao unaosababishwa na aina ya magari wanayotumia. ...

Formula 1: Bifu Jipya Lazuka Ndani Ya Ferrari, Sebastian Vettel Akifuta Ukame Wa Mataji

Formula 1: Bifu Jipya Lazuka Ndani Ya Ferrari, Sebastian Vettel Akifuta Ukame Wa Mataji

Bingwa wa zamani wa magari yaendayokasi, Sebastian Vettel ameshinda ubingwa wa mbio za Singapore Grand Prix mbele ya dereva mwenzie wa kampuni ya Ferrari, Charles Leclerc na kufuta ukame wake wa miezi 13 bila kushinda taji lolote. ...

Formula 2: Dereva Anthoine Hubert Azikwa Nchini Ufaransa

Formula 2: Dereva Anthoine Hubert Azikwa Nchini Ufaransa

...

Formula 1: Charles Leclerc Ashinda Italian GP Baada ya Kumdhibiti Hamilton

Formula 1: Charles Leclerc Ashinda Italian GP Baada ya Kumdhibiti Hamilton

...

Formula 1: Lewis Hamilton Awatia Kiwewe Madereva Wa Ferrari

Formula 1: Lewis Hamilton Awatia Kiwewe Madereva Wa Ferrari

...

Formula One: Ajali Nyingine Yatokea Mashindano Ya Italian Grand Prix, Mclaren Wakiibuka Kidedea

Formula One: Ajali Nyingine Yatokea Mashindano Ya Italian Grand Prix, Mclaren Wakiibuka Kidedea

...

Formula One:

Formula One: "Tulistahili Kufanya Vizuri" Perez Afunguka Baada Ta Mbio Za British GP

...

Loading more Loading More