kikapu > Habari

Kikapu: JKT Yaanza Vyema Michuano Ya Klabu Bingwa Afrika

DAR ES SALAAM, Tanzania- Timu ya JKT Wanaume imeanza vyema mashindano ya klabu bingwa Afrika ya mchezo wa Basketball baada ya kuifunga timu ya Hawasa City ya Ethiopia kwa pointi 87 kwa 47. ...

Pre-Season: LeBron James Afanya Maajabu Lakers Wakiikalisha Warriors

Pre-Season: LeBron James Afanya Maajabu Lakers Wakiikalisha Warriors

SHANGHAI, China- Nyota wa Los Angeles Lakers, LeBron James ameongoza mauaji kwa timu yake wakifanikiwa kuwafunga Golden State Warriors kwa jumla ya vikapu 126-93 kwenye mchezo wa kirafiki. ...

Pre- Season: Matokeo Ya Mechi Zote Za Kirafiki Kwa Timu Zinazoshiriki NBA

Pre- Season: Matokeo Ya Mechi Zote Za Kirafiki Kwa Timu Zinazoshiriki NBA

SHANGHAI, China- Ikiwa zimebaki siku takribani tano kabla ya ligi kuu ya kikapu ya nchini Marekani maarufu NBA, kuanza, maandalizi yameendelea kushika kasi kwenye mechi za kujiweka sawa huko nchini China. ...

Pre-Season: Brooklyn Nets Wawatambia Lakers Kwenye Mchezo Wa Kutest Mitambo

Pre-Season: Brooklyn Nets Wawatambia Lakers Kwenye Mchezo Wa Kutest Mitambo

SHENZHEN, China- Brooklyn Nets wamewachapa Los Angeles Lakers kwa jumla ya vikapu 91-77 kwenye mchezo wa kujipima ubavu ili kujiweka sawa na msimu mpya wa ligi kuu ya mpira wa kikapu ya Marekani, NBA. ...

Pre Season: Stephen Curry Akiwasha Warriors Wakiwachabanga Minnesota Timberwolves

Pre Season: Stephen Curry Akiwasha Warriors Wakiwachabanga Minnesota Timberwolves

MINNESOTA, Marekani- Nyota wa timu ya mprira ya kikapu ya Golden State Warriors,Stephen Curry amefunga alama 40 na kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa vikapu 143-123 dhidi ya timu ya Minnesota Timberwolves. ...

Pre-Season: Giannis Antetokounmpo Afanya Balaa Bucks Wakiwagaragaza Uttah Jazz

Pre-Season: Giannis Antetokounmpo Afanya Balaa Bucks Wakiwagaragaza Uttah Jazz

MILWAUKEE, Marekani -Timu ya mpira wa kikapu ya Milwaukee Bucks imeendelea kuwasha moto kwenye michezo yake ya kirafiki ili kujiweka sawa kabla ya kuanza kwa msimu wa NBA ...

Kikapu: Stephen Curry Bado Ni Kinara Wa Mkwanja NBA, Lowry Atinga 5 Bora

Kikapu: Stephen Curry Bado Ni Kinara Wa Mkwanja NBA, Lowry Atinga 5 Bora

TORONTO, Marekani -Mapema wiki zimetoka habari zinazomuhusu mchezaji wa Toronto Raptors, Kyle Lowry kukubaliana na timu yake kuongeza mkataba mnono ambao utamuwezesha kubaki kwenye mji wa Toronto hadi mwaka 2021. ...

Kikapu: James Harden, Russell Westbrook Wathibitisha Kushiriki Olimpiki Tokyo 2020

Kikapu: James Harden, Russell Westbrook Wathibitisha Kushiriki Olimpiki Tokyo 2020

SAN FRANCISCO, Marekani- Wachezaji wa timu ya Houston Rockets inayoshiriki ligi ya NBA, James Harden na Russell Westbrook wamesema kuwa wataiwakilisha nchi ya Marekani kwenye michuano ya Olimpiki ...

Kikapu: Kyle Lowry Kusaini Mkataba Mpya Toronto Raptors Wenye Thamani Ya Bilioni 71.2 Kwa Mwaka

Kikapu: Kyle Lowry Kusaini Mkataba Mpya Toronto Raptors Wenye Thamani Ya Bilioni 71.2 Kwa Mwaka

TORONTO, Marekani- Mabingwa watetezi wa ligi ya kikapu ya Marekani maarufu NBA, Toronto Raptors wameanza mpango wa kukisuka kikosi chao ...

Pre-Season: LeBron James, Anthony Davis Wang'aa Lakers Wakiwatambia Warriors

Pre-Season: LeBron James, Anthony Davis Wang'aa Lakers Wakiwatambia Warriors

SAN FRANSCISCO, Marekani- Timu ya mpira wa kikapu ya Golden State Warriors imefungua uwanja wao kwa majanga baada ya kukubali kichapo cha vikapu 123-101 kutoka kwa Los Angeles Lakers. ...

FIBA: Hispania Watwaa Ubingwa Wa Dunia Wa Kikapu Baada ya Kuiburuza Argentina Kwenye Fainali

FIBA: Hispania Watwaa Ubingwa Wa Dunia Wa Kikapu Baada ya Kuiburuza Argentina Kwenye Fainali

BEIJING, China -Timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya Hispania imefanikiwa kutwaa taji la dunia la mchezo huo kwa kuwafunga Argentina kwa vikapu 95-75 kwenye mchezo mkali wa fainali uliofanyika usiku wa kuamkia leo. ...

FIBA: Ni Vita Kati ya Argentina Na Spain; Nani Kuibuka Mfalme Mpya Wa Kikapu Duniani Leo?

FIBA: Ni Vita Kati ya Argentina Na Spain; Nani Kuibuka Mfalme Mpya Wa Kikapu Duniani Leo?

BEIJING, China -Fainali ya michuano ya dunia ya mpira wa kikapu inatamatishwa usiku wa leo ambapo miamba ya Marekani ya Kusini, Argentina watavaana uso kwa uso dhidi ya wababe wa Ulaya, Spain ...

Loading more Loading More