soka > Habari

Ndayiragije Mbioni Kupewa Kibarua Cha Moja Kwa Moja Kuinoa Taifa Stars

DAR ES SALAAM, Tanzania- Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya taifa Etienne Ndayiragije, huenda akatangazwa kuwa Kocha Mkuu wa kudumu wa timu hiyo baada ya kukiongoza kikosi cha Stars kufuzu fainali za CHAN ...

Serie A: Romelu Lukaku Aendeleza Moto Wa Mabao Italia

Serie A: Romelu Lukaku Aendeleza Moto Wa Mabao Italia

MILAN, Italia- Mshambuliaji wa Inter Milan, Romelu Lukaku amefunga mabao mawili nakuiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa 4-3 ugenini dhidi ya Sasssuolo kwenye mchezo wa ligi ya Serie A. ...

Lallana Ainusuru Liverpool Kupokea Kipigo Cha Kwanza EPL Mbele Ya Manchester United

Lallana Ainusuru Liverpool Kupokea Kipigo Cha Kwanza EPL Mbele Ya Manchester United

MANCHESTER, Uingereza- Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuwasimamisha Liverpool kwa mara ya kwanza msimu huu baada ya kuwalazimisha sare ya 1-1 kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliofanyika kwenye uwanja wa Old Trafford. ...

EPL: Liverpool Kuvunja Mwiko Wa Miaka Mitano Ndani Ya Old Trafford?

EPL: Liverpool Kuvunja Mwiko Wa Miaka Mitano Ndani Ya Old Trafford?

MANCHESTER, Uingereza- Ligi kuu ya Uingereza inaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa ndani ya jiji la Manchester ambapo timu zenye upinzani na mafanikio makubwa nchini humo Manchester United na Liverpool zitakuwa zikiumana ...

Tetesi: Raheem Sterling Kufunika Mastaa Wote Kwa Mkwanja EPL

Tetesi: Raheem Sterling Kufunika Mastaa Wote Kwa Mkwanja EPL

MANCHESTER, Uingereza -Manchester City wanapanga kumuongezea mkataba mpya kiungo wa mshambuliaji Raheem Sterling ili kumfanya awe mchezaji anayelipwa zaidi kwenye ligi ya Uingereza ...

EPL: Alonso Aipa Chelsea Pointi 3 Dhidi Ya Newcastle, Spurs Wakibanwa Mbavu Nyumbani

EPL: Alonso Aipa Chelsea Pointi 3 Dhidi Ya Newcastle, Spurs Wakibanwa Mbavu Nyumbani

LONDON, Uingereza- Bao la kipindi cha pili la mlinzi wa kushoto Marcos Alonso limetosha kuwapa alama tatu muhimu klabu ya Chelsea baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Newcastle United. ...

Ligi Kuu Bara: Namungo Yaitandika Lipuli Na Kukwea Hadi Nafasi Ya Pili Kwenye Msimamo

Ligi Kuu Bara: Namungo Yaitandika Lipuli Na Kukwea Hadi Nafasi Ya Pili Kwenye Msimamo

LINDI, Tanzania -Timu ya Namungo FC, imepanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya ushindi wa bao 1-0, dhidi ya Lipuli FC ya Iringa. ...

La Liga: GSM Waipa Ushindi Barcelona Mbele Ya Eibar

La Liga: GSM Waipa Ushindi Barcelona Mbele Ya Eibar

BARCELONA, Hispania- Washambuliaji wapya wa Barcelona, Antoine Griezmann, Luis Suaraz na Lionel Messi kila mmoja amefunga bao moja na kuiwzesha timu yao kuibuka na ushindi wa 3-0 ugenini dhidi ya Eibar kwenye mchezo wa La Liga. ...

Kufuzu CHAN: Hivi Ndivyo Washujaa Wetu Walivyojituma Kwenye mechi Ya Sudan vs Taifa Stars

Kufuzu CHAN: Hivi Ndivyo Washujaa Wetu Walivyojituma Kwenye mechi Ya Sudan vs Taifa Stars

KHARTOUM, Sudan- Mabao mawili ya mlinzi Erasto Nyoni na mshambuliaji Ditram Nchimbi yametosha kwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuibuka na ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Sudan ...

Tetesi: Lionel Messi Afichua Mipango Wa Neymar Kujiunga Na Barcelona

Tetesi: Lionel Messi Afichua Mipango Wa Neymar Kujiunga Na Barcelona

BARCELONA, Hispania- Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi, 32, amesema kuwa kuna baadhi ya watu ndani ya timu hawataki Neymar, 27, asajiliwe tena kwa mara ya pili kujiunga na timu hiyo. (Sun). ...

Kufuzu CHAN: Taifa Stars Yapindua Meza Kibabe Sudan Na Kutinga CHAN Cameroon 2020

Kufuzu CHAN: Taifa Stars Yapindua Meza Kibabe Sudan Na Kutinga CHAN Cameroon 2020

KHARTOUM, Sudan- Timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imefanikiwa kutinga kwenye michuano ya CHAN 2020 nchini Cameroon baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 na kuwaondosha Sudan ambao walikuwa wananafasi kubwa ya kusonga mbele. ...

Tetesi: Paul Pogba Akutana Na Zinedine Zidane Uso Kwa Uso

Tetesi: Paul Pogba Akutana Na Zinedine Zidane Uso Kwa Uso

MANCHESTER, Uingereza- Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba amekutana na kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane nchini Dubai kipindi cha mapumziko ya timu za taifa ...

Sudan v Taifa Stars: Erasto Nyoni Asema Leo Ni Kufa Au Kupona

Sudan v Taifa Stars: Erasto Nyoni Asema Leo Ni Kufa Au Kupona

KHARTOUM, Sudan- Mlinzi wa kati wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Simba, Erasto Nyoni amesema kuwa mchezo wa leo dhidi ya Sudan ni wa kufa au kupona. ...

Tetesi: Mwinyi Zahera Kuamua Hatima Ya Niyonzima Ndani Ya Yanga

Tetesi: Mwinyi Zahera Kuamua Hatima Ya Niyonzima Ndani Ya Yanga

DAR ES SALAAM, Tanzania-Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amesema hawatakuwa na tatizo kumrejesha kiungo wao wa zamani Haruna Niyonzima kama kocha Mwinyi Zahera atamuhitaji. ...

Maoni: Jinamizi la Mbwana Samatta Na Simon Msuva Kuendelea Kuitafuta Stars Huko Sudan?

Maoni: Jinamizi la Mbwana Samatta Na Simon Msuva Kuendelea Kuitafuta Stars Huko Sudan?

KHARTOUM, Sudan- Timu ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars siku ya Ijumaa itakuwa ni kibarua kizito mbele ya Sudan pale timu hizo zitakapoumana kugombea nafasi ya kushiriki michuano ya CHAN. ...

Loading more Loading More