Serie A: Romelu Lukaku Aendeleza Moto Wa Mabao Italia

20th October 2019

MILAN, Italia- Mshambuliaji wa Inter Milan, Romelu Lukaku amefunga mabao mawili nakuiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa 4-3 ugenini dhidi ya Sasssuolo kwenye mchezo wa ligi ya Serie A.

Romelu Lukaku
Romelu Lukaku
SUMMARY

Ushindi huo umewabakisha Milan kwenye nafasi ya pili wakiwa alama moja nyuma ya vinara Juventus ambao jana walishinda mchezo wao dhidi ya Bologna.

Mabao mengine ya Milan yamefungwa na kiungo mshambuliaji Lautaro Martinez.

Ushindi huo umewabakisha Milan kwenye nafasi ya pili wakiwa alama moja nyuma ya vinara Juventus ambao jana walishinda mchezo wao dhidi ya Bologna.

Mabao ya Sassuolo yamefungwa na Domenico Berardi, Filip Djuricic na Jeremie Boga.

Imeandaliwa na Badrudin Yahaya