Pre Season: Stephen Curry Akiwasha Warriors Wakiwachabanga Minnesota Timberwolves

12th October 2019

MINNESOTA, Marekani- Nyota wa timu ya mprira ya kikapu ya Golden State Warriors,Stephen Curry amefunga alama 40 na kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa vikapu 143-123 dhidi ya timu ya Minnesota Timberwolves.

Stephen Curry
Stephen Curry
SUMMARY

Kwa upande wa Minnesota, Jake Layman na Jarrett Culver wamefunga alama 17 wakiwa ndiyo nyota kwa upande wa timu yao huku Naz Reid akifunga 14 na kufanya rebound 10.

Curry amefunga alama zote hizo ndani ya dakika 25 hku pia Jordan Poole akifunga vikapu 19 na D'Angelo Russellakifunga 16 kwa upande wa Warriors.

Kwa upande wa Minnesota, Jake Layman na Jarrett Culver wamefunga alama 17 wakiwa ndiyo nyota kwa upande wa timu yao huku Naz Reid akifunga 14 na kufanya rebound 10.

Kwenye mchezo mwingine wa kutest mitambo, Kawhi Leonard amecheza mchezo wake wa kwanza na kufunga vikapu 6 wakati timu yake ya LA Clipper ikipoteza kwa vikapu 111-91 mbele ya Denver Nuggets.

Malik Beasly amefunga alama 16 na Nikola Jokic amefunga alama 10 kwa upande wa Denver.


Imeandaliwa na Badrudin Yahaya