EPL: Longstaff Afunga Bao Mechi Yake Ya Kwanza EPL, Newcastle Wakiilaza Man United

7th October 2019

NEWCASTLE, Uingereza -Klabu ya Newcaslte United wamefanikiwa kuwalaza Manchester United kwa bao 1-0 na kuongeza presha kwenye kibarua cha kocha Ole Gunnar Solskjaer.

Matty Longstaff
Matty Longstaff
SUMMARY

United sasa wanabaki na alama zao tisa baada ya kushuka dimbani mara nane msimu huu huku Newcastle iliyo chini ya kocha Steve Bruce ikifikisha alama 8.

Kipigo hicho kinafikisha idadi ya mechi 11 kwa Man United kushindwa kupata ushindi.

Bao la Newcastle United kwenye mchezo huo limefungwa na Sean Longstaff ambaye kipindi cha usajili alikuwa akihusishwa kutakiwa na Man United.

United sasa wanabaki na alama zao tisa baada ya kushuka dimbani mara nane msimu huu huku Newcastle iliyo chini ya kocha Steve Bruce ikifikisha alama 8.

Imeandaliwa na Badrudin Yahaya