Breaking News: Jackpot Ya SportPesa ya Tsh 260,319,980 Imepata Mshindi

30th September 2019

DAR ES SALAAM, Tanzania -Baada ya Magabe Marwa na Kingsley Pascal kushinda Jackpot ya Tsh Milioni 825, hatimaye Jackpot ya SportPesa imepata mshindi mwingine hapo jana

Mshindi wa Jackpot
Mshindi wa Jackpot
SUMMARY

Tayari Jackpot ya wiki hii imerudi hadi Tsh 200,000,000 ambazo unaweza kuzinyakua wiki hii kwa kubashiri mechi 13 HAPA

Mshindi huyo kutoka Dar es Salaam amechomoka na dau la Tsh 260,319,980 baada ya kubashiri mechi zote 13 za Jackpot ya wiki iliyopita kwa usahihi.

Jackpot Bonus

Sambamba na mshindi huyo, washindi wengine waliopatia mechia 10, 11 na 12 wameshinda BONUS

Waliopatia mechi 10 wameshinda Tsh 252,892 kila mmoja

Waliopatia mechi 11 wameshinda Tsh 1,443,133 kila mmoja

Waliopatia mechi 12 wameshinda Tsh 5,927,156 kila mmoja

Jackpot Mpya!

Tayari Jackpot ya wiki hii imerudi hadi Tsh 200,000,000 ambazo unaweza kuzinyakua wiki hii kwa kubashiri mechi 13 HAPA


Tutaendelea kukujuza zaidi kuhusu taarifa za mshindi wa Jackpot


Kaa mkao wa kula!