Breaking News: Jackpot Ya SportPesa ya Tsh 260,319,980 Imepata Mshindi
30th September 2019
DAR ES SALAAM, Tanzania -Baada ya Magabe Marwa na Kingsley Pascal kushinda Jackpot ya Tsh Milioni 825, hatimaye Jackpot ya SportPesa imepata mshindi mwingine hapo jana
Tayari Jackpot ya wiki hii imerudi hadi Tsh 200,000,000 ambazo unaweza kuzinyakua wiki hii kwa kubashiri mechi 13 HAPA
Mshindi huyo kutoka Dar es Salaam amechomoka na dau la Tsh 260,319,980 baada ya kubashiri mechi zote 13 za Jackpot ya wiki iliyopita kwa usahihi.
Jackpot Bonus
Sambamba na mshindi huyo, washindi wengine waliopatia mechia 10, 11 na 12 wameshinda BONUS
Waliopatia mechi 10 wameshinda Tsh 252,892 kila mmoja
Waliopatia mechi 11 wameshinda Tsh 1,443,133 kila mmoja
Waliopatia mechi 12 wameshinda Tsh 5,927,156 kila mmoja
Jackpot Mpya!
Tayari Jackpot ya wiki hii imerudi hadi Tsh 200,000,000 ambazo unaweza kuzinyakua wiki hii kwa kubashiri mechi 13 HAPA
Tutaendelea kukujuza zaidi kuhusu taarifa za mshindi wa Jackpot
Kaa mkao wa kula!